SELEKALI IMECHOSHWA NA UTUKUTU
WETU SISI WANASIASA
Amani si kitu cha mchezo |
JIHESHIMU
UHESHIMIKE …..AMANI YA TANZANIA ITALINDWA KWA NJIA ZOZOTE ZILE
Kupitia kauli ya wazili wetu mkuu alivyo
tuasa, mimi nafikiria ni moja ya maaso ya mwisho kwa mtu mzima aidha alie
choshwa na utukutu wetu sisi wana siasa ambao bado tume nga’nga’nia kushikilia
mna kuabudu uana siasa wa kizamani wa kutukanana kushabikia vurugu mauaji na
hata kuunda chuki ndani ya jamii na kuwaacha matajili wetu ambao ni wananchi
tunao washawishi kutuchagua tuingie katika mchakato wa kutuwakilishia madai ,
matakwa yetu huko Mjengoni(BUNGENI)
sasa mchakato huo unakuja katika picha hii inayo toa picha mbaya yenye kututia kichefu
chefu sisi wananchi kwakweli na sisi sasa tunaona ni vyema kwa kauli ya
wazili mkuu aliyo itoa huenda ikawa na uzito na yenye kututia uchungu sana sisi
wananchi……kila kukicha kuna jitokeza kauli katika vyombo vya habari na tunasikia
yaliyo jiri katika anga la walalahoi ambao ndio wanao ombwa kura kwa vipigo,
kudharirishwa, kuchaniwa mavazi yao waliyo yanunua kwa shida ….pia mabomo nayo hayako nyuma
yanapenya mpaka ndani ya vyumba vyetu na yakitudhuru sisi wapenda amani, wakezetu watoto wetu pia wajukuu zetu kwetu
sisi wananchi tupendao amani na eti kisa ni wanasiasa wanaowania kwenda
mjengoni (BUNGENI) au UDIWANI hivi huko mjengoni (BUNGENI) au ADIWANI hivi himo
mjengoni BUNGENI kutakuwa eneo la
kudaiwa hakizetu za maendeleo sisi walalahoi au litakuwa eneo la kutekeleza vyisasi, kukomoana, kuzushiana
chuki baina ya serekali, wananchi ambao ndio walala hoi, wabunge wenye kuitakia
meme walalahoi wa Taifa hili la Tanzania ambalo… lilikuwa Taifa lenye amani
utulivi, humu duniani sasa basi WAZILI WETU MKUU KASEMA hakuna mjadala, mjadala
tutaupata kwa wahusika watakao lishughulikia hili jee? na tukiwa sisi wapenda
amani tutatii maagizo ya serekali na kudai haki zetu kwa ustarabu au tusubili
kichapo kutoka kwa wadogo zetu, watoto wetu na hata wajukuu zetu
“WATANZANIA TUJIUNGENI PAMOJA KUYAKEMESAHA HAYA YANAYO ENDELEA KATIKA KULIGAWA TAIFA
LETU HILI AMBALO NI KISIWA CHA AMANI”
No comments:
Post a Comment