Monday, 17 June 2013

Rais Museveni wa Uganda





 
Rais Museveni wa Uganda ameitaka Misri iache kutoa kauli za kibabe kuhusiana na ujenzi wa bwawa katika mto Nile. Akizungumza jana baada ya waziri wa fedha wa nchi hiyo kuwasilisha bajeti, Museveni alisema Ethiopia inafanya jambo la maana kujenga mabwawa kwa ajili ya kuzalisha umeme kwa sababu umeme ni kitu ambacho mataifa mengi yanahitaji sasa ili kupiga hatua katika maendeleo. Unadhani msimamo huu wa rais Museveni unaweza kusaidia kuutatua mvutano uliopo kati ya Misri na Ethiopia?

No comments:

Post a Comment