HAPA
NANI
MJINGA
ZAIDI?
NANI
MJINGA
ZAIDI?
Mmoja alionekan na birika anamwagilia maji kwenye bustan huku mvua inanyesha alipoulizwa akasema mvua ni mvua na maji ni maji
Wa pili kaona embe juu ya mwembe akajiuliza imewiva au mbichi,akapanda-juu akaona imewiva akateremka akakusanya mawe akaanza kutungua,
W tatu kaona kitu kam kimefanana na mavi akajiuliza haya mavi au udongo akatia kidole akalamba alipoona ni mavi akasema ni mavi nashukuru sikuyakanyaga.....Hahahahahahahaahahaahahaa......weeeeekend njema
No comments:
Post a Comment