Sunday, 2 June 2013

BUGANGO BORDER YAMUAGA" DULLA MNYAMWEZI"


 BUGANGO BORDER: wamuaga Blogar wa Bugango Border kwa jina Abdul Nasor Majid...au Mnyamwezi, Mpalestina, Giriki, Brown, Sija, ......baada ya kupata Uhamisho wa kwenda kuongeza nguvu katika kitengo furani huko mkoani kagera watoto, Vijana, Mabibi, Mbaba, Wazee wamiminika kujua nini kilicho jiri kwa Bloga wao alio ufungua watu macho waliokuwa hawavijui vijiji vya Bugango, Kuakunyu, Bubale au Mkoa mzima wa Kagera...

Watoto wakichat na Blogar wa Bugango Border.. alipo watembelea kijijini kwao watoto wenye furaha wakisikiliza ujumbe walio pelekewa na mgeni wao huyo wazee wafurahia sana ziara yake kwa wananchi badala ya kujifungia ofisini kuliko jaa hewa ya baridi ya kiyoyozi


Blogar wa Bugango Border akitoa darasa kwa wageni wa nchi jirani na Raia wa Tanzania kuhusiana na sheria za Uhamiaji za Tanzania maelekezo na utambuzi ndivyo vitu muhiu anavyo vilenga wakati awapo kazini



>wanakijiji wa longa na kumuaga wasema: KWAHERI DULA MNYWAMWEZI.


Akiwa safarini Bloga wa KWETU TANGA alimlina picha kwa siri Dulla akiwa katika pozi la kupokea simu aliopigiwa wakati alipokuwa njiani kwenda kutekeleza majukumu yake 
 Kifungua kinywa hakikumpita mbali hapa yupo na mteja waka akimkaribisha kwa uji wa mtama ulio wekewa na maziwa katika alfajiri ya kazi...




>shekh ATHUMANI KACHUMBA: aangua kilio adai yakuwa angependa japo amsomee diwa ili aendapo huko awe na baraka zote....

amuomba Bloga wao awe na mawasiliano na uongozi wa msikiti wa BYAKATEBA...

Mweshimiwa Diwani Richard  akihoji jambo furani kuhusiana na masuala ya jimboni mwake huku akutaka kujua Bloga wa kijiji hiki atafanyaje kazi ya kukitambulisha kijiji hiki katika kiwango cha kimataifa kwani tayari kijiji hiki kilikuwa ndani ya dunia.........Mwashimiwa Diwani atolewa wasiwasi na kuahidiwa yakuwa hakuna kitakacho badirika mambo yote yapo katika mstari.....

No comments:

Post a Comment