Monday, 3 June 2013

HONGERA -JOICE SHUNDI

 HONGERA MAMA SHUNDI KWA
 KUHITIMU ELIMU YAKO YA JUU





Uongozi wa Bugango Border.....Boshazi Blog, Kwetu Tanga Blog kwa pamoja tumna kupongeza sana sana dada yetu kwa jitihada zako hadi kufikia hatua ya juu ya kielemu kwakweli palipo na nia pana njia ...



Joice Shundi




Wakati wa kupongezana kwa kazi nzuri na ngumu
kwa heshima na taadhima na kiujumla Kwa Blog zote za BOSHAZI, KWETU TANGA tuna Toa pongeza za dhati
sana ...


 Wakati wa kusherehekea upokeaji wa vyeti vya kuhutimu ya ngazi za juu na kujumuika na wanafunzi wenzie uongozi wa Blog hizi zote tatu una toa pongezi nyingi si kwako tuu bali kwa Ukoo mzima wa Marehemi Mzee Fedric Shundi kwa kuku fungua na kufikia marengo yako ya ngazi ya juu
Joice Shundi -mwenye ushanga mweupe shingoni na alie tabasamu


No comments:

Post a Comment