Monday, 3 June 2013


Picha za matukio mbalimbali yaliyojiri katika sherehe ya kuaga mwaka 2012 na kuukaribisha mwaka mpya
wa 2013 sanjari na kumuaga aliyekuwa kaimu Afisa Uhamiaji Mkoa wa Kagera DCI. Flavian Ruangisa na kumkaribisha Afisa Uhamiaji Mkuu Mkoa Kagera DCI. George C. M. Kombe.

Sherehe hiyo iliyofanyika mjini Muleba katika ukumbi Waisuka Club siku ya jumamosi tarehe 25/05/2013 iliwakutanisha watumishi wa idara ya uhamiaji mkoa wa Kagera, maofisa waalikwa kutoka mikoa ya Mara, Geita, Mwanza, Shinyanga na Kigoma na watumishi wa halmashauri ya wilaya ya Muleba wakiongozwa na mgeni rasmi ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkuu wa Wilaya ya Muleba Mheshimiwa Isidori.



Vijana wa idara kutoka Rusumo Border wakifuatilia sherehe kwa makini


Afisa Uhamiaji Mkuu Mkoa Kagera (mwenye suti ya rangi ya samli kulia) akiwa na mkewe (katikati) na DRIO Mwanza wakifuatilia sherehe hiyo mjini Muleba

Kijana Qambesh katika pozi




Mkuu wa wilaya ya Muleba akisisitiza jambo wakati wa sherehe hiyo

DIO wa Muleba akitoa hotuba ya kukaribisha wageni katika sherehe hiyo

Kamanda Mwinyi na Mama Hindu wakifurahia sherehe hiyo

Kutoka kushoto, Makamanda Mwakibinga, Mahimbo, na Nyangasa

Bwana na Bibi Mwaipyana

Makamanda Tuzo na Dinga

Kuanzia kushoto, makamanda Kapesa, Magashi na Mlay

Aginess na mgeni wake wakifurahia sherehe


Meza kuu inavyoonekana

Vinywaji vimetapakaa katika meza

Bwana na Bibi Mchungaji wa Bwana wakifurahia sherehe

Mfawidhi wa kituo cha Murongo akitoa zawadi kwa DCI. Ruangisa kuonesha ishara ya kumuaga rasmi

Kijana Mbotta na DCI. Shomari wakipunga mikono kuonesha kufurahishwa na sherehe

Cheers ya Champagne ikiendelea

Vijana wa Rusumo Border wakielekea eneo la kutolea zawadi kwa RIO mpya anayekaribishwa






Kamanda Gerhard Mardai akisoma risala mbele ya mgeni rasmi

Mr & Mrs RIO, George C.M. Kombe wakiwa wamesimama ili kupongezwa na wageni

DCI. Ruangisa akipakua chakula

DCI. Kombe akipakua chakula

Wadau wa uhamiaji wakiendelea kuburudika

No comments:

Post a Comment