Monday, 3 June 2013

BURIANI....... MANGWAIR


>Muda huu wa saa kumi na Mbili kwa saa za Afrika mashariki kwa saa za South Africa ni saa kumi na Moja jioni.....tukiwa bado tupo kwenye majonzi makubwa yakupotelewa na ndugu yetu Albert Mangweha.....Baada ya ratiba kupangika watanzania waishio nchini South Africa
wamepata nafasi ya kuaga mwili wa Albert Mangweha kuelekea katika safari ya mwisho...wakiongozwa na Msanii  Bushoke na Mtoto wa Mhe. Kingunge Ngombale mwiru
,Kinjeketile na wanaosimamia mipango ya kuaga mwili nchini South Africa
MANGWAIR

No comments:

Post a Comment