Saturday, 1 June 2013

UTAJIRI WA MKOA WA KAGERA

MAMA TERESIA
 Kipepeo wapatikanao minziro na ni hazina ya utali katika poli la minziro katika msimu huu vipepeo wamekuwa wengi huku kwetu minziro karibu ujionee majina ya vipepeo ni ya kubuni tukizingatia mtu aliye mkamata na kutiletea ....na kumuweka rangi nyekundu kanma alama na kutaka kujua anauwezo wa kusafiri umbari gani........mama teresia alikutwa amefariki dunia huko kagera sugar........
MAMA MAGDARENA


MAMA VICTORIA

NJIWA WA KIJANI



Kipepeo victoria....mdogo wa maumbile na nikipenzi wa watu aliye mchangamfu







Kipepeo Magdarena mwenye rangi ya hariri msili asiependa bugudha




Njiwa wa kijani wavutia wengi baada ya kutinga katika viunga vya Bugango border....wakiwa safarini kwenda kusini mwa Afrika ...wakiamba na bonde la Ufa....wavinjari kwa makundi makubwa ya zaidi ya njiwa 300...500 yakubwa na inakadiriwa wanaizito karibu ya nusikilo kila mmoja....

No comments:

Post a Comment