PICHA ZA MATUKIO YA VURGU MTWARA
Yaliyo tokea Mtwara uharibifu wa majumba na mali za serekali
Mtaa ukiwa kimya kabisa wakati oparesheni ya kuwasaka walio fanya uharibifu Mtwara katika sakata la Gesi ya mtwara......vijana waki shanga wasijue nini la kufanya...
Mikusanyika ya vijana wasio na kazi wakitupa mawe na kufanya vurugu katika viunga vya Mtwara
Uchomaji wa matairi Barabarani wakati barabara zikiwa hazina watu hata mmoja wakihofia kukamatwa na askari walinda amani mjini Mtwara
Nidhahiri uharibifu ulikuwa mkubwa katika viunga vya mji wa Mtwara ...uharibifu uliotendwa nidhahili sisi walipakodi na kuhalibiwa mali za serikali tunao umia ni sisi wafanyakazi tunao lipa kodi
No comments:
Post a Comment