OBAMA AWASILI TANZANIA
Watanzania watokwa na machozi kwa kumkubali kama yeye alivyo
tukubali sisi watanzania wlipuka kwa furaha na kusema HESHIMA HII ALIYOTUPA RAIS OBAMA
TUTAMLIPA
NINI?!!!! itakuwa uridhi kwetu na vizazi vyetu na kuendelea kwa kusema
sisi watamzania si nchi ya kufikilika bali ni nchi ya kuthminika
Raisi wa taifa kubwa hili la Marekani alijitahidi kwa
kujikakamua kwa kusalimia watanzania kwa ligha ya Kiswahili
kadhatiaka hayo ni
maneno yaliyokuwa yakisikika yakiteka kinywani Mwake yeye mwenyewe …..palikuwaepo
kijana mmoja pembeni yango na kumtonya
mwana Blog hizi za BOSHAZI.
ZIGUA SIMO NA NJERO, NA KWETU TANGA…..Alisema jamani kumbe
mimi nilidhani Rais Obama ni mzungu kumbe ni sawa na sisi ngozi yake nywele
zake hata majivuno yake ni yaleyale ya Kiafika alihoji kijana huyo mimi nime
bahatika kumgusa mkono wake kwahio watu wa mtaani kwetu watanikoma …..lakini
hivi imekuwaje Rais wa taifa kubwa kama hili kuamua kuja kututembelea sisi
walala hoi na akaungana nasi kama baba yetu, kaka yetu, au kama jamaa
yetu? Na wakati sisi tumekuwa tukidharau
umoja wetu huu wa Tanzania ………Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania akipungia
na mgeni wake wa Taifa kubwa la Marekani
U.S.A
Maraisi hao wawili na wake
zao mama kikwete na mama Obama….Tuna muomba mungu ziara hii ihitimike kwa amani
na furaha kubwa kwa kukubalika kimataifa “Tumpongeze sanasana wazili Membe kwa
kutuandalia hili……..”
No comments:
Post a Comment