MZEE
RAPAHAEL KUBAGA
PICHA YA PAMOJA |
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Uhamiaji Tanzania Wakati wa Uhuru upande wa kushoto Mzee Papael kubaga akifuatiwa na Ogastino Kubaga (Mtoto wake wa Kwanza) yupo nyuma ya Baba yake,
Upande wa kulia ni Rafael Kubaga(Kivugu) wakiwa katika sura za furaha na katika picha ya
Pamoja katikati ni Mabunti zake wawili:
Betty Kubaga, Suzana Kubaga….
akiwa na
familia yake nyumbani kwake Chang’ombe Dar-Esa-Salaam
Katika wakati wake alipokuwa Mkurugenzi wa Uhamiaji alitoa
mchango mkubwa katika fani ya michezo , na alisisitiza michezo Idarani kama vile
Mpira wa miguu, Mchezo wa Ngumi, Mchezo wa mpira wa Pete, Mpira wa kikapo, bila
kuwasahau Wanariadha na idara ilijizolea
sifa nyingi kutokana na michezo wanariadha wengi wazuri walikuwa wakitokea katika
idara ya Uhamiaji na hata hivyo wachezaji wa idara walisubutu kuwakilisha inchi nje
ya nchi na kufanya vizuri na vijana wengi wali faidika kupitia michezo na kwasasa wamekuwa wakitoa mchango mkubwa katika nchi hii katika maswala ya kiulinzi na usalama
TUNASEMA TUNAKUSHUKURU
NA
” TUNAMKUMBUKA MZEE WETU KWA MALEZI YAKE MAZURI KWA
IDARA”
KWETU TANGA. BLOG |
No comments:
Post a Comment