UHURU NA UMOJA…
(A).
Hapa pana picha mbili na zina maana tofauti lakini malengo
pia ni tofauti jee kuna ukweli wowte na kama upo tufanye nini kuweza kuuzuia
usi vurugike nikiwa na maana uhuru na umoja wetu watanzania picha ya kwanza ni
ya mwaka 1960’ na yapili yake ni ya mwaka 2000’s
Hivi tunaona nini katika picha hizi mbili na tunajifunza
nini?...picha ya kwanza ya mwaka 1960’s kuna watu wawili wa jinsia mbili
tofauti nikiwa na maana mwanamke na mwanamume..wakiwa wameshika pembe za ndovu
huu ni utajiri wa Tanzania unao lindwa kwa ngharama zozote na wananchi wa
Tanzania…..yapili kuna ngao yenye alama ya mwenge unao mulika vitu vifuatavyo JEMBE NA SHOKA , BENDERA YA TANZANIA, NA
MAWIMBI YA BAHARI kuonyesha utajiri wa baharini samaki nk. Pia kuna mlima
wa Kilima njaro kuna utepe ulio shehenezwa maneno ya UHURU NA UMOJA…Ndio lengo
sahihi la nembo hii.
(B).
Hapa tunaona nembo ni
ileile lakini maana tofaiti kwani ni mwaka 2000’s Yule Baka na Yule mama tulio
waona katika miaka ile ya 1960’s wakiwa wame bebe meno ya Tembo na kila mmoja
akiishia kusiko jilikana ule mwenge ulio kuwa uki mulika amani na upendo au
Uhuru na umoja umeanza kuchoma nembo ile yale majembe na shoka hayako katika
mpangilio yameanguka chini isitoshe ule utepo ulio kuwepo na uliokuwa
umesheheni maneno matamu ya Uhuru na Umoja hayapo tene ….Labda kwa wakati huu
yange andikwa CHUKUA CHAKO NA UAMBAE.
Sasa kama ni hivyo wazee wetu wale waliokuwa wakilinda ngao ili ya Uhuru
na Umoja wakitokea na wakiwakuta ninyi MABINTI NA VIJANA (ambao kwasasa ni vitukuu vyao)
Mkihamisha rasilimali hizo kwendanazo kusiko jurikana na wakataka kuwahoji
nyinyi mtakuwa na lipi la kuji tetea au mta bung’aa kwa SONI?
“HIVYO WAKATI NI HUU WA KULINDA
LASILI MALI ZA TAIFA KWA HESIMA YA WAASISI WA TAIFA HILI”
No comments:
Post a Comment