KOMRED: Peter Shundi…..Na zilipendwa
NAKUMBUSHA KATIKA
MAISHA ISHI KWA AMANI, AMUA KWA BUSARA, FIKIRI KWA KINA, TENDA KWA HEKIMA,
PENDA KWA DHATI, OMBA KWA IMANI, HUBIRI KWA MATENDO, ONGEA KWA NIDHAMU, TII KWA
UNYENYEKEVU, ABUDU KWA ROHO NA KWELI, ENENDA KWA ROHO, TENDA KWA WAKATI, TAMBUA
UWEPO WAKO, JITATHMINI UMETOKA WAPI UKO WAPI UNAENDA WAPI KIROHO, KIMWILI NA
KIMAENDELEO, ZAIDI YA YOTE JIHESHIMU, JITUNZE, JIAMINI, JITAFAKARI KWANI VYOTE
VINATOKANA NA JINSI WEWE ULIVYO. MUNGU NAYE YUKO PAMOJA NAWE HATA SASA NA
MILELE! MUNGU AKUBARIKI, AKULINDE NA KUKUHIFADHI.
KWA MFANO UPO
KWENYE SHEREHE, WAMEANZA KUGAWA MSOSI IMEFIKA ZAMU YAKO MSOSI UMEISHA WAKATI WA
VINYWAJI MCHEZO ULEULE VINYWAJI VIMEISHA IMEFIKA WAKATI WA KUGAWA TOOTH PICKS
WAKAANZIA KWAKO, KAMA INGEKUWA NDIO WEWE UNGEPOKEA AU?
MWALIMU: JOHN JE
UNGEPENDA KUWA NANI UKIWA MKUBWA? JOHN:NINGEPENDA KUWA TAJIRI MKUBWA NIMILIKI
MAGARI NA MAJUMBA YA KIFAHARI HALAFU NAOA NAKUMPANGISHIA MKE WANGU HOTELI
PARIS, NAMNUNULIA MAGARI YA KIFAHARI NA KUMPELEKA KILA ANAPOTAKA: MWALIMU
AKAGEUKA UPANDE WA PILI "EEEH NA WEWE DORIN UNAPENDA KUWA NANI BAADAE?
DORIN: NATAKA KUWA MKE WA JOHN. MWALIMU HOI! "CHEZEA WATOTO WA DIGITAL
WEWE' USIKU MWEMA...!.
KILA UKUTANAPO NA
UGUMU WA MAISHA. TUMIA MUDA HUU POPOTE PALE UENDAPO. MUNGU AKUJALIE KINGA KWA
KILA JARIBU, MSAMAHA KWA KILA KOSA, MATUMAINI KWA KILA LENGO, JIBU KWA KILA
OMBI, "UPENDO KWA WATU WOTE" NAWATAKIA USIKU MWEMA...!
TAFAKARI....!
WANAFUNZI AMBAO WALIANZA DARASA LA KWANZA MWAKA 2002 NI WANAFUNZI AMBAO WANA
BAHATI SANA...! WALIPOANZA SHULE TU ADA IKAFUTWA...! WALIPOFIKA DARASA LA NNE
TU KURUDIA DARASA KUKAFUTWA...! KUIBUKIA FORM ONE MWAKA 2009 BAHATI IKAZIDI
KUWAANGUKIA COZ KURUDIA FORM TWO KULIFUTWA....! KWA KUTHIBITISHA BAHATI YAO NA
MATOKEO YAO YA MTIHANI WA FORM 4 YAMEFUTWA BAADA YA KUFELI SANA...! HIVYO
YAMEPANGWA UPYA ILI WAWEZE KUFAULU...! DAH HAWA VIJANA WANA BAHATI...!
No comments:
Post a Comment