Eneo lenye utawala wake nchini Somalia, Puntland limesema limesitisha
uhusiano wake na serikali kuu ya taifa hilo kwa kuituhumu kukataa
pendekezo la kugawana madaraka na serikali kuu ya Somalia.
Kutoka Mogadishu Sudi Mnette amezungumza na Mbunge, Hussein Bantu na
kwanza alitaka kujua hatua hiyo wameipokeaje? Kusikiliza mazungumzo
bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.
No comments:
Post a Comment