MKAPA NA MWINYI WAWASILI LIVE ZIMBABWE
|
Tanzania |
MKAPA NA MWINYI WAWASILI LIVE
ZIMBABWE KUHUDHURIA KUAPISHWA
|
JONGWE |
KWA MUGABE AT AGE 89!!
Marais
Wastaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi na Mzee Benjamin William Mkapa na wake
zao, Mama Sitti Mwinyi na Mama Anna Mkapa, wakiondoka Uwanja wa Ndege
wa Kimataifa wa Julius Nyerere kuelekea Harare, Zimbabwe, kushiriki
katika sherehe ya kuapishwa kwa Rais wa Zimbambwe, Mhe Robert Mugabe,
inayotarajiwa kufanyika kesho Alhamisi Agosti 22, 2013
Marais
Wastaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi na Mzee Benjamin William Mkapa na wake
zao, Mama Sitti Mwinyi na Mama Anna Mkapa, wakiwasili katioka Uwanja wa
Ndege wa Kimataifa wa Harare, Zimbabwe, walikoalikwa kushiriki katika
sherehe ya kuapishwa kwa Rais wa Zimbambwe, Mhe Robert Mugabe,
inayotarajiwa kufanyika kesho Alhamisi Agosti 22, 2013.PICHA NA IKULU
|
Karibu Tanzania |
No comments:
Post a Comment