Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho
Kikwete ameshtushwa na kuhuzunishwa na taarifa za kifo cha Kiongozi wa
Kanisa la Evangelistic Assemblies of God Tanzania (EAGT) Askofu Mkuu
Moses Kulola ambaye ameafariki jana Agosti 29, 2013 katika Hospitali ya
AMI iliyoko Masaki mjini Dar Es Salaam akiwa na umri wa miaka 84.
Rais kikwete ameelezea mshtuko na huzuni yake katika Salamu za
Rambirambi alizomtumia Katibu Mkuu wa Kanisa hilo Bwana Brown
Mwakipesile kufuatia kifo cha Askofu Mkuu Kulowa. ...Continue Reading
Rais kikwete ameelezea mshtuko na huzuni yake katika Salamu za Rambirambi alizomtumia Katibu Mkuu wa Kanisa hilo Bwana Brown Mwakipesile kufuatia kifo cha Askofu Mkuu Kulowa. ...Continue Reading
UMA WAMLILIA ASKOFU MOSES KULOLA |
No comments:
Post a Comment