Monday 22 July 2013

IPENDE BUGANGO BORDER...yako!!!!

IPENDE BUGANGO BORDER
Mikakati inapangwa katika kijiji cha bugango Border kuelekea katika maendeleo ya haraka haraka viongozi wa vyama na serekali mbele ya Diwani wa Kakunyu waanzisha mikakati ya kushindanisha Kilimo, Ufugaji, Biashara...hii yote ni katika mwelekeo wa kupambana na Umaskibi Diwani adai watumieni wataalamu waliogaiwa katika kata  hii watuletee maendeleo ya haraka....
majadiliano

taarifa fupi




Wananchi wa Bugango, Bubale, Kakunyu waagizwa kupambana na magonjwa ya Mazao (mnyauko kwa migomba, Suna kwa Ng'ombe).nk kwa kuwatumia wataalamu wa husika....

kiongozi wa Tarafa







 Hotuba mbali mbali za kuwaelimisha wananchi katika Tarafa ya Kakunyu kuhusiana na masuala ya kilimo na Ufugaji kuvuendeleza vijiji vyao...









maendeleo ya kijiji ni maendeleo kwa wanakijiji wenyewe tupambaneni na umaskini BUGANGO BORDER....
Ng'mbe bora..













 Ng'mbe bora wa kisasa walio nono Mbuzi, kuku, bata, sungura, nguruwe ni utajiri mkibwa hapakwetu Kakunyu...yadaiwa na viongozi wa Tarafa hii ya mpakani

Mazao yanayo stamiri hali ya hewa wasisitizwa kusimamiwa kidete katika uoteswaji katika eneo hili ikiwemo ...Mhogo, Migomba, Mtama, Maharagwe, Viazi vya aina zote, Mazao ya Biashara...Tumbako, Alizeti, Kahawa nk.......wasisitiza Utalii wa maeneo tetu nato upo juu.

No comments:

Post a Comment