Friday 21 June 2013

SELEKALI IMECHOSHWA NA UTUKUTU WETU SISI WANASIASA


SELEKALI IMECHOSHWA NA UTUKUTU
WETU SISI WANASIASA

Amani si kitu cha mchezo
 
JIHESHIMU UHESHIMIKE …..AMANI YA TANZANIA  ITALINDWA KWA NJIA ZOZOTE ZILE
Kupitia kauli ya wazili wetu mkuu alivyo tuasa, mimi nafikiria ni moja ya maaso ya mwisho kwa mtu mzima aidha alie choshwa na utukutu wetu sisi wana siasa ambao bado tume nga’nga’nia kushikilia mna kuabudu uana siasa wa kizamani wa kutukanana kushabikia vurugu mauaji na hata kuunda chuki ndani ya jamii na kuwaacha matajili wetu ambao ni wananchi tunao washawishi kutuchagua tuingie katika mchakato wa kutuwakilishia madai ,
matakwa yetu huko Mjengoni(BUNGENI) sasa mchakato huo unakuja katika picha hii inayo toa picha mbaya yenye kututia kichefu chefu sisi wananchi kwakweli na sisi sasa tunaona ni vyema kwa kauli ya wazili mkuu aliyo itoa huenda ikawa na uzito na yenye kututia uchungu sana sisi wananchi……kila kukicha kuna jitokeza kauli katika vyombo vya habari na tunasikia yaliyo jiri katika anga la walalahoi ambao ndio wanao ombwa kura kwa vipigo, kudharirishwa, kuchaniwa mavazi yao waliyo yanunua  kwa shida ….pia mabomo nayo hayako nyuma yanapenya mpaka ndani ya vyumba vyetu na yakitudhuru sisi wapenda amani,  wakezetu watoto wetu pia wajukuu zetu kwetu sisi wananchi tupendao amani na eti kisa ni wanasiasa wanaowania kwenda mjengoni (BUNGENI) au UDIWANI hivi huko mjengoni (BUNGENI) au ADIWANI hivi himo mjengoni BUNGENI  kutakuwa eneo la kudaiwa hakizetu za maendeleo sisi walalahoi  au litakuwa  eneo la kutekeleza vyisasi, kukomoana, kuzushiana chuki baina ya serekali, wananchi ambao ndio walala hoi, wabunge wenye kuitakia meme walalahoi wa Taifa hili la Tanzania ambalo… lilikuwa Taifa lenye amani utulivi, humu duniani sasa basi WAZILI WETU MKUU KASEMA hakuna mjadala, mjadala tutaupata kwa wahusika watakao lishughulikia hili jee? na tukiwa sisi wapenda amani tutatii maagizo ya serekali na kudai haki zetu kwa ustarabu au tusubili kichapo kutoka kwa wadogo zetu, watoto wetu na hata wajukuu zetu

“WATANZANIA TUJIUNGENI  PAMOJA KUYAKEMESAHA HAYA YANAYO ENDELEA KATIKA KULIGAWA TAIFA LETU HILI AMBALO NI KISIWA CHA AMANI”

No comments:

Post a Comment